Thursday 13 February 2014

weyangu longani...

"chisekujala machindi na sero"
HISTORIA YA WAZIGUA BY: HASSAN OMARY ABDALLAH MDAMANI (ZUMBE)

MBWELA CHIFU WA KWANZA WA WAZIGUA KUTIA SAINI MKATABA NA DK. KARL PETERS 

     Mnamo mwaka 1882 ambapo Chief wa wazigua ZUMBE alipokuwa amepigana vita nyingi na makabila mbalimbali katika kutanua wigo mpana kwa kukamata maeneo mbalimbali hasa sehemu za Handeni,ilifikia wakati alichoka zaidi na alikuwa mtu mzima na alikwishazeeka sana ambaye hakuwa na uwezo tena wa kupambana katika vita mbali mbali za kimila na kijadi. Hivyo basi basi cheo chake alimrithisha mtemi mwingine wa kizigua aliyejulikana kwa jina la MBWELA ambaye alikuwa karibu nae zaidi katika mapambano mbalimbali ya kivita za asili.

KUINGIA KWA WAGENI WA KIZUNGU(WAJERUMANI) MKOANI TANGA
    Dk. Karl Peters akiwa na wenzake Dk. Karl Juhlke na Joachim Graf. Huyu Dk. Karl Peters ndiye aliyewaingiza mkenge babu zetu wakati wa kuingia ukoloni wa Ujerumani nchini kwa kuingia katika mikataba ya kilaghai na watawala wetu wa jadi.

(Mbwela, Chifu wa Wazigua mkoani Tanga, ndiye aliyekuwa mtawala wa jadi wa kwanza kutia saini mkataba na Dk. Karl Peters mwaka 1884.)
      Baada ya kuingia kwa mikataba hii ya kilaghai na watawala wetu wa kijadi ambayo iliwakandamiza mababu zetu kwa kuwafanya…………………………………INAENDELEA

……………..Historia ya wazigua by  Hassan Abdallah  aka  Zumbe ………………..HISTORIA YA WAZIGUA BY: HASSAN OMARY ABDALLAH MDAMANI (ZUMBE)

MBWELA CHIFU WA KWANZA WA WAZIGUA KUTIA SAINI MKATABA NA DK. KARL PETERS

Mnamo mwaka 1882 ambapo Chief wa wazigua ZUMBE alipokuwa amepigana vita nyingi na makabila mbalimbali katika kutanua wigo mpana kwa kukamata maeneo mbalimbali hasa sehemu za Handeni,ilifikia wakati alichoka zaidi na alikuwa mtu mzima na alikwishazeeka sana ambaye hakuwa na uwezo tena wa kupambana katika vita mbali mbali za kimila na ki...See more

WEYANGU HAYA MSANYANI..



HAKIKA WATOTO TUNAWEZA..





HISTORIA FUPI YA WAZIGUA WALIOCHANGANYIKA NA WABONDEI PAMOJA NA WASAMBAA AMBAO WALIISHI PAMOJA KABLA YA KUTAWANYIKA KATIKA VITA ZA KIKABILA
HISTORIA BY HASSAN OMARY ABDALLAH
Kabila ya WAZIGUA ni miongoni mwa makabila kadhaa ya wakazi wa Mkoa wa Tanga, Makabila mengine ni Wabondei, wanguu, wakilindi, wasambaa, waluvu, ambao kihistoria wana asili moja yaani waseuta kama nitakavyoelezea baadaye, Makabila mengine yaishiyo mkoani Tanga ni wasege...Continue Reading