Saturday, 20 July 2013

hii si sawa...UKINIITA FATAKI NA MIMI NITAKUITA MABARUTI...

WATANZANIA hebu kemeeni mambo haya mbona katika ufisadimmesimama imara????????

MISS...Tanzania
Tuwasaidie wazazi wa watoto wetu hivi sisi wazazi tunajifunza nini kwa watoto wetu sasa mama wliye mchambisha binti wa mwaka mmoja na kuyaona maumbo ya mwanaee( hivileo kumahaja ya kuyaona tena) ...haya maumbile si mali ya MUMEWE..... jamani basi msituite MAFATAKI bali mtuite MABARUTI..... AU VIPIIIII!!!!!

No comments:

Post a Comment