TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya Tz bila kutushirikisha Mkristu Tz.
Tunafahamu kuna ambao mmeshalizwa, tafadhali tufahamisheni ili tuweze kuwaanika (tutaanzisha thread maalum kwa ajili ya hili).
Nisisitize, KUWENI MAKINI NA MATAPELI!
No comments:
Post a Comment