KWANI HII NI RUSHWA AU GHARAMA ZA KUJIKIMU????
KWANI HII NI RUSHWA AU
GHARAMA ZA KUJIKIMU????
 |
KAMA NANAWA... |
KWA
KUWA HOSPITALI KUMUONADAKTARI NI Tsh 5,000-15,000/=,MAHAKAMANI MUHURI
WA HAKIMU NI Tsh5,000-10,000/=,KUANZIA.SASA HATA SHULENIKUMUONA
HEADMASTER AU MWL MKUU ITAKUWA NI Tsh 5,000-7000,KUONGEA NA MWL WA
DARASA 3,000/=,MWL WA ZAMU 2500/=,NA MUHURI NA UHAMISHO WA MWANAFUNZI
GHARAMA YAKE NI Tsh15,000/=.LENGO NI KULETA USAWA WA KISEKTA NA KUIFANYA
SEKTA YA ELIMU NAYO IWE NA HADHI KAMASEKTAZINGINE.UNAONAJE KWA HILO
MWL?NAHITAJI MAONI YAKO
No comments:
Post a Comment