Thursday, 25 July 2013

Mwl. Shilatu Afariki Dunia

Mwl. Shilatu Afariki Dunia - Pole kwa Wale tuliamjua. 

Binafsi nilijifunza mengi sana kutokwa kwake. Nikiwa shule ya Msingi Chang'ombe (1975 - 1981). Mungu aipe faraja familia yake katika wakati huu mgumu.

Nimeona kwenye blog ya jamii "mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwake Mbagala, kwa mawasiliano 0717 488 622
Mwl. Shilatu Afariki
Mwl. Shilatu Afariki Dunia -
 
 Pole kwa Wale tuliomjua.

Binafsi nilijifunza mengi sana kutokwa kwake. Nikiwa shule ya Msingi Chang'ombe (1975 - 1981). Mungu aipe faraja familia yake katika wakati huu mgumu.

Nimeona kwenye blog ya jamii "mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwake Mbagala, kwa mawasiliano 0717 488 622
 
 
 
shule ya Chang'ombe.
 Japo si sahihi kuhoji kazi ya mungu lakini ifike wakati tujiulize hivi walimu wa shule yetu ya chang'mbe kulikoni kwani tulipata taarifa ambayo si ya uhakika kuwa kuna baadhi ya walimu wa katika shule hiihii wamekumbwa na ajali za kugongwa na magari, Baskeli, Pikipiki na sisi wote ni mashahidi iwehivyo au isiwa hivyo tumuachie mungu....mimi binafsi nimefundishwa sana na mwalimu huyu alituchukulia sisi kama watoto wale katika enzi hizo katika somolake alilokuwa akilipemda la Siasa .......alitusakama saana na kudai yakuwa ni lazima vijana watakao toka mikononi mwake lazima wapatikane wanasiasa .....leo hii tunae mmoja Mtoto wa Mheshimiwa Kawawa...na ni mbunge wa huko kusini ....kulikuwapo darasani mwetu wakina Peter Mushiri, Peter Mgondah...Wakina Richaldi Tarawa.....Wa kina  Frola msikula, wakina Julias Mgodo, na wengine wengi nasikitika kwa kuto wataja kwa majina lakini wote tuna wakumbuka na japo sisi tupo mbali na eneo latuio lililo tokea kwa mwalimu wetu kwa pamoja tngependa kukumgana na wanafamilia ya Mwalimu wetu SHIRATU katika kipindi hiki kigumu na chenye majaribu makubwa kwa pamoja ningependa kusema Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake litikuzwe.....Amin.

No comments:

Post a Comment