Saturday, 27 July 2013

namba 40 kwenye Biblia

  • SIMO NA NJERO
     
     
     namba 40 kwenye Biblia
     
     
     
    namba 40 kwenye Biblia haina maana kipindi exactly cha miaka, siku, miezi 40, hata Elia ni namba 40 hata mahubiri ya Yona ni namba 40! kumbe 40 kwenye Biblia inamaana ya kipindi kirefu cha kizazi kizima ama maisha yote ya mtu. sio suala la mahesabu bali maana ya namba ndo inayotumika hapa. 40 maana yake kipindi kirefu kisichokua cha muda maalumu lakini chenye ukomo wake na kawaida ni kipindi kinachojumuisha maisha yote ya mtu mpaka kifo. sasa kusema za mwizi 40 haimaanishi atakamatwa siku ya 40, bali kuiba kuna mwisho wake ipo siku atakamatwa. matanga 40 ni alama ya hitimisho la maisha yote ya aliyekufa, kutolewa siku 40 sio kila kabila na wala sio kila nchi wazungu ni siku tatu-nne!

No comments:

Post a Comment