Saturday, 27 July 2013

Tonge nyama

 
 
Tonge nyama
Mchana mwema jamani.
kulea mwana si mchezo
Jamani karibuni lakini kama wewe hutaku kula ni nani wa kulaumiwa hapa nawania kula ugali wa mhogo na nyama ya kuku tonge nyama au vipi usinizungumzishe wakati naendelea kula  tetetetetetetetetetetete!!!!!!

No comments:

Post a Comment