ULE UBISHI WA MAKABILA!
ULE UBISHI WA MAKABILA!
ULE
UBISHI WA MAKABILA! KUDAI OBAMA NI NDUGU YAO UMERUDI TENA! WACHAGA
WANADAI ANAITWA "OBAMAELI" WASAMBAA WANASEMA ANAITWA "SHEOBAMA"
WANYAKYUSA WANADAI ANAITWA! "MWAOBAMA" WAHAYA! NAO KWA KUPENDA SIFA
WANASEMA ANAITWA "RWEYOBAMA!...MCHANA MWEMA.
No comments:
Post a Comment