Tuesday, 16 July 2013

UPELE UKIMPATA MKUNAJI

 

 

 

 

  Misemo ya bongo

Kuna misemo ya bongo huwa naipenda sana, embu cheki huu
“KULIKO KIOZE, HERI NIMPE JIRANI YANGU”. Hahahahaha
Embu na wewe tupia msemo wako unaokufurahisha sana....hahahahahaahha
KWAKWELI UPELE UKIMPATA MKUNAJI hadi ajitoe damu.....hahahahahaha.

No comments:

Post a Comment