Walio mwagiwa Tindikali Kisiwani Zanzibar walikua ni walimu wakujitolea kisiwani hapo.....
Shahidi alie shuhudia tukio hili asema bila yeye kumpeleka baharini na
kumwagia maji ili kuonda tindikali hiyo basi hali yake ingekua mbaya
zaidi
''Watoto
wawili wakiume wenye umri wa miaka 15 alimyanyua Kristy
Gee(aliyemwagiwa) na kumpeleka baharini kwasababu bahari ilikua karibu
na eneo la tukio ...walimfikisha baharini na kuanza kumuosha'' alisema
shahidi huyo ambaye ameomba jina lake kuhifadhiwa
Chanzo chetu cha habari kimethibitisha kua wamefikishwa nchini uingereza
na hivi sasa wanatibiwa katika hospitali ya Chelsea nchini humo
No comments:
Post a Comment