Tuesday, 10 September 2013

Bugango Border

 
 
 
 
 
Bahati yaTanzania
 
 
Mji wa ahadi
Utalii wa T,zania
wadau na wapenzi wa blogu ya bugango mnaombwa kuipigia kura blogu yenu maarufu katika shindano la blogu bora katika mwaka huu wa 2013.

tupo katika vipengele vinne. tafadhali pigia kura vipengele vyote mara nyingi uwezavyo kwa siku na kila siku hadi tarehe 15 septemba ambayo ni siku ya mwisho kupiga kura. bofya hii link upige kura yako sasa.

"WADAU WA BUGANGO BORDER" .....Kwa pamoja nikiwa na maana Kwetu Tanga, Zigua Simo na njero, na Baragumu la Mnyonge, .....wanaomba muipigie kura Bugango Border Blog...nayo  wana vipengele vinne katika shindano hili....tunatanguliza shukurani...
 
 DOFYA HAPA CHINI..

No comments:

Post a Comment