********
SAMACHAU
Jamaa kenda kwenye interview. Alipofika akambiwa "wait
please" Jamaa akajibu " 75 kg Sir" Wakaona Lugha Gongana
haipandi Wakamuuliza Ushawahi kufika Chuo Kikuu Chochote? Akasema Ndio naenda
sana Pale Chuo Cha Mlimani na IFM kuchukua Wanafunzi na Tax yangu.
Tteteteteeteteteteteteeteteteett!
*******
SAMAMDOE
Jamaa watatu walikamatwa na bangi huko cuba. Wakapewa adhabu ya
kwenda msituni na kurejea na matunda kumi kila mmoja. Wa kwanza akarejea na
machungwa. Akaambiwa ameze moja-moja, akashindwa na kupigwa risasi. Wa pili
akarejea na nyanya chungu. Naye akaambiwa ameze moja-moja, alipofika ya tisa
akaacha na kuanza kucheka hivyo akapigwa risasi. Wakiwa kuzimu, jamaa wa kwanza
akamuuliza wa kwanza kwanini aliamua kucheka. Jamaa wa pili akajibu:
"Nilipogeuka nyuma nikamwona jamaa wa tatu karejea na matikiti-maji!"
Balaa...
Hahahahahahahahahahahaahahahaaaaaaa!
No comments:
Post a Comment