Binti na Baba
![]() |
simo na njero |
Binti: Baba
nimepata mpenzi lakini yuko mbali sana na hapa Tanzania. Yuko
Uingereza, London. Kuna website moja ya watu wanaotafuta wapenzi
tulikutana humo, tukawa marafiki kwenye Facebook, tumechat kwenye
Whatsapp sana, juzi kwenye Skype amepropose kunioa na sasa uhusiano wetu
una miezi minne. Baba nahitaji baraka zako ili uhusiano uendelee vizuri
tuoane.
Baba: Dingi akaweka gazeti chini, akakuna kipara kidogo, akavua miwani, halafu akamjibu mwanae:
Vizuri sana mwanangu. Hongera kwa kupata. Sasa fanyeni mpango muoane kabisa kupitia mtandao wa Twitter, watoto mnunue kwenye mtandao wa e-Bay na wawe wanawatembelea kupitia e-mails zenu na siku ukimchoka huyu mumeo basi umuuze kwenye mtandao wa Amazon! Kizazi cha hovyo kabisa! Mnadhani kila kitu ni mtandao! Non sense!

No comments:
Post a Comment