Thursday, 4 July 2013

CHAKULA NI ZAWADI KUTOKA KWA MOLA....

Mambo Vipi? Ushapata kifungua kinywa? Neno gani la 
kwanza linakujia akilini ukiona hii picha??
 
 
Mambo Vipi? Ushapata kifungua kinywa? Neno gani la kwanza linakujia akilini ukiona hii picha??
 Chakula ni kitu muhimu sana kwa mwanadamu 
ni vyema upatapo pesa yako uitumie kwa mambo muhimu hususani chakula hasahasa kile roho yako ina penda utaona yakuwa hata Afya yako itakuwa nzuri na hata mawazo yako yatakuwa mazuri

"NA KABLA HUJAANZA KUFUNGUA KINYWA NI VYEMA UMKUMBUKE
 MOLA WAKO ALIE KUPATIA UWEZO WA KUPATA LIZIKI HIYO 
...MIMI NASEMA AMINA"

No comments:

Post a Comment