Thursday, 25 July 2013

cheka na wewe...

 cheka na wewe.
UKIBEBA BIBLIA SHETANI ANAUMWA KICHWA, UKIFUNGUA ANAANGUKA, UKISOMA ANAZIMIA, FANYA BIDII TUSOME KWA WINGI TUMUUMIZE HUENDA AKAPATA STROKE NA ASIWEZE KUINUKA KABISA. NA SASA UKITAKA KUWAAMBIA NDUGU NA MARAFIKI KUHUSU UJUMBE HUU ATAJARIBU KUKUVUNJA MOYO. LAKINI MKOMESHE AJUE SISI WATU WEMA. BASI WAELEZE NDUGU NA MARAFIKI! SI UNAONA UNAVYOSITA!

No comments:

Post a Comment