Tuesday, 2 July 2013

Familia ya Mandela imemshtaki






·         Familia ya Mandela imemshtaki



Familia ya Mandela imemshtaki mjukuu wa Mandela, Mandla, katika juhudi za kutaka kufukua maiti za wanawe Mandela ili wawazike katika makaburi ya Qunu, ambako Mandela anakata kuzikwa.

No comments:

Post a Comment