kodi ya laini ya simu
kodi ya laini ya simu
Wanasiasa
baada ya kimya kingi kuhusu kodi ya laini ya simu aka Simcard tax
wameibuka na kushindana katika kuonekana watetezi wa wananchi na kupinga
hii kodi. Sasa awe mbunge wa ***** au ***** asituletee siasa ..
wajipange kupokea maoni na wito wetu yaani petition Mjengonii alafu wafute
hii tozo/kodi kandamizi .. waache kutoa matamko na kulumbana .. ewe
mwananchi mtanzania weka ***** pembeni na bila kujali itikadi weka ushauri kuhusiana na hili kwani wewe mwenyewe ndiye utakae anza kusononeka huko jijiweni kwako....hahahahahaahahahah!!!!
No comments:
Post a Comment