Thursday, 25 July 2013

madawa ya kulevya

Photo: Papa alaani madawa ya kulevya

Kiongozi wa kanisa katoliki, Baba mtakatifu Francis,amekosoa vikali mipango ya baadhi ya nchi Amerika ya Kusini kutaka kuhalalisha madawa ya kulevya.

Ni maoni yako kuhusu wito wa Baba Mtakatifu?
madawa ya kulevya

No comments:

Post a Comment