MCHAGA NA MBINGUNI
MCHAGA
NA MBINGUNI WAPI NA WAPI? MCHAGA ALIPOKUFA ALIULIZWA NA MALAIKA
"KUSHOTO KWAKO NI PEPONI, KULIA NI JEHANAM. JE UNGEPENDA UENDE WAPI?
MCHAGA: NITABAKI KATIKATI YA PEPO NA JEHANAM . MALAIKA: KWA NINI?!
MCHAGA: NIKIFUNGUA DUKA HAPO WOTE WA MBINGUNI NA JEHANAM WATAFIKA
KUNUNUA BIDHAA. CHEZEA MCHAGA WW?
No comments:
Post a Comment