Friday, 26 July 2013

mseme nyinyi sisi ni noma

 
 
 
mseme nyinyi sisi ni noma
 
SWALI KWA WAKRISTO.....NIJIBU (KWA NINI) NUHU ALITENGENEZA SAFINA KWA MUDA WA MIAKA 40, MVUA YA GHARIKA SIKU 40, WAISRAELI WALIKAA UTUMWANI MISRI KWA MIAKA 40, PIA WAISRAELI WALISAFIRI NYIKANI KWA MUDA WA MIAKA 40, MNARA WA BABELI ULIJENGWA KWA MIAKA 40, BWANA YESU KRISTO, ALIFUNGA KWA SIKU 40, PIA ALIPAA MBINGUNI BAADA YA SIKU 40, PASAKA INAADHIMISHWA BAADA YA SIKU 40, HATA WATU WAKIFIWA, HUMALIZA MSIBA KWA KUONDOA MATANGA BAADA YA SIKU 40, PIA WATU HUSEMA ZA MWIZI 40, HATA MTOTO HUTOLEWA NJE BAADA YA SIKU 40,"KWA NINI 40?" UKISHINDWA MUULIZE MTU MWINGINE HADI TUPATE JIBU HALAFU NIFAHAMISHE.

No comments:

Post a Comment