Saturday, 6 July 2013

Mtu mmoja kazi mia

 
Mtu mmoja kazi mia
 
 
" Mtu mmoja kazi mia, shughuli wewe, biashara wewe, harusi wewe, msiba wewe, maneno wewe, majungu wewe, mapozi wewe, hasira wewe,  kila kitu wewe halafu wala hufaidiki wala hutajiriki ........ tulizana"
Hahahahahahahahahahahahaha........

No comments:

Post a Comment