Ungekua ww ungefanyaje?
Daah...!!!! ungefanyaje....????Mfano wewe ni dereva tax
umepewa namba ya simu kumfuata mteja na wewe ukaenda
kwa kuwa
ndo kazi yako. Ile unafika
unakuta mteja ni jamaa yuko na mkeo wakiwa mlangoni
wanatoka ndani ya guest house huku wakiwa
wameshikana mikono na mkeo anambusu jamaa. Jamaa
anakuambia mchukue huyu mwanamke muwahishe
nyumbani kwake kabla mume wake
hajarudi. Utafanyaje?
No comments:
Post a Comment