Tuesday, 2 July 2013

Wilaya ya Handeni

Wilaya ya Handeni


Wilaya ya Handeni katika mkoa wa Tanga
Handeni ni kati ya wilaya saba ya Mkoa wa Tanga katika Tanzania. Imepakana na wilaya ya Kilindi upande wa magharibi, wilaya ya Korogwe na Mkoa wa Kilimanjaro upande wa kaskazini, wilaya ya Pangani upande wa mashariki na Mkoa wa Pwani kwa kusini.
Mwaka 2002 ilikuwa na wakazi 249,572. [1]

Tarafa

Wilaya ya Handeni ina tarafa 7 kata 19 na vijiji 112. Tarafa zilizopo ni Chanika, Sindeni, Mkumburu, Magamba, Kwamsisi, Mzundu na Mazingara. Kata zilizopo nia kama zifuatazo:

Viungo vya nje

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Handeni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Handeni - Mkoa wa Tanga - Tanzania Flag of Tanzania.svg
SegeraNdolwaMazingaraKwamsisiKwasungaKwaluguruKang'ataKwamkonjeVibaoniSindeniMisimaKivaKabukuKwamatukuKwedizingaMgambo (Handeni)KomkongaMkataChanika

No comments:

Post a Comment