![]() |
Oya Iddi njema kwetu soteeeee |
Ndugu zangu waislamu leo au kesho ni sikukuu ya Iddi moja ya nguzo za kukamilisha funga ya kila mwaka kukumbuka maagizo ya mtume na ni moja ya nguzo za waislamu
mimi nawaombeni nduguzetu waislamu katika fungua yenu basi kuleni na kunywa kwa kiasi huku mkikumbuka wenyeshida nao wapo nyuma yenu toeni sadaka kwa wenyeshida na mola atawabaliki uepukeni kula na kusaza
karibuni nyote katika sherebe hii kwani sherehe hii si kwenu tuu bali ni kwetu sisi sote tutashirikiana nanyi pamoja
Kunapilau, Nyamachoma, Wali wa maji, Makaronya, soda, Bia yote haya yanafanywa kwa jina la alaa
KARIBUNI SANA
No comments:
Post a Comment