FAMILIA ZA USWAHILINI....

MCHUNGAJI
KATIKATI YA IBADA AKASEMA "WANAUME WOTE WANAOTESWA NA WAKE ZAO WASIMAME
MARA: WANAUME WOTE WAKASIMAMA ISIPOKUWA MTU MMOJA TU KABAKI AMEKAA.
MCHUNGAJI: HALELUYAH, TUSHUHUDIE UMEMSHIRIKISHAJE MUNGU WEWE HUTESWI NA
MKEO? YULE JAMAA ALIYEKAA AKAJIBU:KANIVUNJA MIGUU YOTE HATA KUSIMAMA
SIWEZI TENA!!
No comments:
Post a Comment