Tucheke
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleimani Kova,
ametaarifu kuwa Polisi wanawashikilia watu watano, akiwamo Enea Dawsoni,
ambaye ni mfanyakazi katika Kapuni ya Ndege ya Fast Jet, kwa jaribio la
kutaka kupora fedha kiasi cha Sh 60,000,000 katika Kampuni hiyo.
Alisema watuhumiwa hao walinaswa katika Mtaa wa Samora na iligundulika walikuwa wana mawasiliano ya simu.
“Baada ya kuwakamata watu hawa, Polisi walikwenda katika ofisi hizo na
baada ya kufika walichukua simu ya watuhumiwa hao na kuona ujumbe mfupi
wa maneno, ulioeleza kuwa fedha zipo karibu na chooni. Polisi walichukua
simu ya wahalifu na walipopiga simu hiyo iliyokuwa na mawasiliano na
majambazi hao, simu iliita kwa sauti kubwa ndani ya maungo ya mmoja kati
ya watumishi wa Fast Jet,” alisema Kamishna Kova
“Mtumishi
Enea Dawson alikuwa ameficha simu hiyo sehemu za siri katika nguo zake
ambapo aliumbuka na kugundulika kuwa alikuwa na uhusiano wa karibu na
majambazi hao,” alisema Kova
Tucheke |
Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleimani Kova,
ametaarifu kuwa Polisi wanawashikilia watu watano, akiwamo Enea Dawsoni,
ambaye ni mfanyakazi katika Kapuni ya Ndege ya Fast Jet, kwa jaribio la
kutaka kupora fedha kiasi cha Sh 60,000,000 katika Kampuni hiyo.
Alisema watuhumiwa hao walinaswa katika Mtaa wa Samora na iligundulika walikuwa wana mawasiliano ya simu.
“Baada ya kuwakamata watu hawa, Polisi walikwenda katika ofisi hizo na baada ya kufika walichukua simu ya watuhumiwa hao na kuona ujumbe mfupi wa maneno, ulioeleza kuwa fedha zipo karibu na chooni. Polisi walichukua simu ya wahalifu na walipopiga simu hiyo iliyokuwa na mawasiliano na majambazi hao, simu iliita kwa sauti kubwa ndani ya maungo ya mmoja kati ya watumishi wa Fast Jet,” alisema Kamishna Kova
“Mtumishi Enea Dawson alikuwa ameficha simu hiyo sehemu za siri katika nguo zake ambapo aliumbuka na kugundulika kuwa alikuwa na uhusiano wa karibu na majambazi hao,” alisema Kova

No comments:
Post a Comment