Wa mwisho ndo mshindi...
PUNGUZA KICHEKO.....MKAKA, MDADA hahahahaha
ulevi ni hatari kwa watoto chini ya miaka 18 |
Mfano:
Ualimu tanzania ni kazi ngumu kiasi
kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
madaktari wa tanzania wanahitaji kulipwa zaidi.................... (tuendelee kwa mtindo huo wana SIMO NA NJERO, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)
sigara ni hatari kwa afya yako... |
No comments:
Post a Comment