Thursday 13 February 2014

TUNUSURU MALI ASILI ZETU







Wadau watetea wanyamapori London............

Nyingi ya biashara haramu za wanyamapori zinafaidi soko kubwa la pembe za Ndovu na Vifaru CHINA.

Wahifadhi wakuu wa mazingira kutoka kote duniani wanakutana mjini London Uingereza kubuni mikakati ya kukomesha Uwindanji haramu wa wanyama pori walio katika hatari ya kuangamia............NANI MWENYE KULAUMIWA HAPA , SERIKALI ZA KIAFRIKA AU CHINA AMBAKO BIDHAA HIZI ZINAUZWA?

No comments:

Post a Comment