KAKAKUONA AONEKANA ENEO LA BUZA
JIJIN DAR ES SALAAM
Kakakuona akionyeshwa kwa watu walioingia chumbani alipohifadhiwa huko Buza jijini Dar.
Kakakuona akiwa eneo alipohifadhiwa.


Wananchi wakionesha kukasirika baada ya kuzuiwa kuingia ndani kumuona kiumbe huyo.
KAKAKUONA mwingine ameonekana tena katika maeneo ya Buza jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo ikiwa ni mara ya pili kwa mwaka huu mnyama huyo kuonekana huku tukio la kwanza likianzia Kawe miezi kadhaa iliyopita na hatimaye tukio lingine kujitokeza.
No comments:
Post a Comment