Ndugu wana jf binafsi nimeliona hili na nikaona hebu tujaribu kushare mawazo yetu. kuna jambo linashangaza ktk vituo vyetu vya tv hapa nchini, most of them matangazo yao wanayatoa kwa lugha ya kiswahili kwa lengo na kujua kwamba watanzania ndo lugha yetu ya taifa na ili taarifa au habar ifike kwa walengwa ndo maana lugha yetu hii hutumika, sasa tatizo linakuja pale wanapotoa habar ambayo ndan yake kuna mtu hajui kiswahili na eidha anaongea kiingereza au lugha nyingine kwanin huwa inafikishwa hvyohvyo na hakuna hata mtafasir na wakat inajulikana kwamba habar hyo imetolewa kwa lugha ya kiswahili. mfano mzur ni juzi wakat wa mech ya stars na uganda, maneno ya kocha wa stars na wa uganda yanafikishwa hvyohvyo kiingereza kwanin wakat sio kwamba watanzania wote wanaelewa lugha hzo?...
ni hlo tu wana jf japo nimelifikisha kwa urefu zaid na ninaamin takua nimeeleweka.