Sunday, 8 September 2013

Mzimu wa Madawa ya kulevya yaitesa Tanzania

MIKUMI
 
Wazili wa Tanzania
 Wakati mzimu wa Madawa ya kulevya ukiendelea kuitesa Tanzania pamoja na uthibiti wa hali ya juu ukiendelea kutawala kwa vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama sakata lingine laibuka huko mashariki ya mbali meli ya tanzania yakumbwa na jinamizi hilo .....Fuatilia habari hii
 
Madawa ya Kulevya: Meli ya Tanzania iliyobeba unga wa Sh. Bilioni 123 yaibua kizaazaa nchini Italia! 

- Baada ya kushtukiwa, wamiliki waamua kuitia kiberiti
- Ilikuwa na mzigo wa TANI 30!

Endelea kusoma zaidi => http://bit.ly/1aW51RB
Meli ya Mizigo
Madawa haramu
Madawa ya Kulevya: Meli ya Tanzania iliyobeba unga wa Sh. Bilioni 123 yaibua kizaazaa nchini Italia!

- Baada ya kushtukiwa, wamiliki waamua kuitia kiberiti
- Ilikuwa na mzigo wa TANI 30!

Endelea kusoma zaidi .... http://bit.ly/1aW51RB

No comments:

Post a Comment