Saturday, 7 September 2013

Karibu nyumbani Broo Peter.....

mwisho wa siku
Peter
Sitaki kucheka
 
KATI YA HAWA YUPI MKALI ZAIDI? KUNA JAMAA ALIENDA SUMBAWANGA KUCHUKUA WAGANGA ILI WAMSAIDIE KWENYE BIASHARA ZAKE. AKAONDOKA NA WAGANGA WATATU KURUDI NAO DAR. WAKIWA NJIANI KWENYE GARI, KILA MGANGA AKAWA ANAONYESHA UJUZI WAKE HUKU AKITAMBA KUWA NI BORA KULIKO WENZAKE. WA KWANZA AKAONYESHA KIDOLE JUU IKANYESHA MVUA KUBWA NA ALIPONYOOSHA TENA MVUA IKAKATA. WA PILI AKAKOHOA MARA TAIRI ZOTE ZIKAPATA PANCHA LAKINI GARI LINAKWENDA. WALIPOFIKA UBUNGO YULE WA WATATU AKAPIGA CHAFYA MARA WAKAJIKUTA WOTE WAPO SUMBAWANGA NDIO KWANZA WANAANZA SAFARI......
 

No comments:

Post a Comment