Saturday, 21 December 2013

Mbunge wa Nkenge, Assumpter Mshama



 
Nionavyo mimi


Mbunge wa Nkenge, Assumpter Mshama akitazama picha za watu waliouawa kupitia runinga za bungeni, wakati wabunge walipokuwa wakijadili taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuhusu tathmini ya matatizo yaliyotokana na Operesheni Tokomeza Ujangili, iliyowasilishwa bungeni Dodoma jana.  


No comments:

Post a Comment