DOGO NOMA NA DEREVA
Dogo alipanda basi akakaa karibu na dereva.Akaanza kupayuka'baba angekuwa dume na mama jike la ng'ombe ningekuwa kadume kadogo.Dereva akaanza kukerwa na kelele zake.Akaendelea,''baba angekuwa tembo na mama jike la tembo ningekuwa katembo kadogo.''Akaendelea kutaja wanyama kibao.Dereva kwa hasira akamuuliza kama babako angekuwa shoga na mama changudoa ungekuwa nani?..............
> Dogo akatabasam na kumjibu,''ningekuwa dereva wa basi''!
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAHA.......
No comments:
Post a Comment