Sunday, 23 June 2013

MTANI WA MZIGUA NI MSUKUMA








MTANI  WA  MZIGUA  NI  MSUKUMA….NI NOMA.

Kuna jamaa (Msukuma) alibahatika kusafiri kutoka Kijijini kwake kwenda sehemu ya mbali kidogo. Wakati wa kurudi ilimbidi apige lapa (atembee kwa mguu) sababu usafiri aliotumia wakati wa kwenda ulikuwa ni msaada tu a.k.a lift. Baada ya kurudi kijijini kwake akawa anawahadithia ndugu na jamaa jinsi alivyosafiri. Alipoulizwa ulipanda gari gani wakati wa kwenda  jamaa akawa mkali, "Nakwambia mimi sikupanda GARI nilipanda  FUSO"

“Tehe teeheeeeeee” , kwa hiyo jamaa akaendelea kukana kabisa hakupanda gari bali alipanda  FUSO. Hadi naondoka eneo la tukio jamaa alibaki na msimamo wake kuwa hajapanda GARI ila alipanda  FUSO!!! Wasukuma bwanaaaaa!!!

TABU KWELIKWALI

No comments:

Post a Comment