NIKIFIKIRIA MATESO YA BWANAWETU YESU KTRISU
Mlokole ....mmoja kaenda ugenini, kutokana na safari kuwa ndefu kafika kachoka halafu njaa imembana balaa, wenyeji kama kawaida wakamkaribisha kwa viazi bahati mbaya bado vya moto. mlokole kutokana na njaa akabugia kumbe cha moto!, kukitema akaona aibu hivyo ikabidi akimeze harakaharaka, mara "machozi yakaanza kumtoka"
, wenyeji wakamuuliza kulikoni ndugu?, akajibu
"nikifikiria mateso ya Bwana Yesu msalabani halafu watu bado wanatenda dhambi machozi yananitoka"
KAZI KWELI KWELI .........
No comments:
Post a Comment