"HIVI KUNA USAHIHI GANI TUNAPO SEMA MFICHA UCHI HAZAI"....Mbona watowote wanavaa nguo za kila aina kwa hofu wasiwe uchi klakini wana watoto kibaooooo!!! hi iajeee
Hebu tumkaribishe wajomba SAMAMDOE & SAMACHAU watudadavulie......Hahahahahahaahahah!!!
*****
@ SAMAMDOE
Kipofu na mahakama
Kipofu alifkishwa mahakamani kisa kaua mtu.Alipohojiwa na JAJI yeye akajitetea akasema hivi :Ndugu JAJI kwakweli mimi na marehemu tuligombana nilipotaka kumpiga akasema NIUE UONE na mimi kwakuwa nilikuwa ninahamu sana ya KUONA basi NIKAMUUA.Je nani mwenye kosa hapo?Hahahahahahahaahahahahahahaaha!!!
*******
@ SAMACHAU
dogo Ni noma huyu.
Samachau alikua amechelewaHahahahahahaahahahahahahahahahahahahahaha!!!!
shule
Mwalimu: mbona leo
umechelewa
shule?
Samachau: kuna mzee mmoja
kapoteza pesa.
Mwalimu: kwa hivyo
ulikua
unamsaidia kutafuta au?
Samachau: hapana nilikua
nimezikanyagia nasuburi
aondoke!!
No comments:
Post a Comment