Ndugu zangu leo ninayo furaha kubwa sana kwami kilikotokea huko nimeletwa na loli la mapeasi na machungwa kwa bahati nzuli naomba kwanza nijitambulishe mimi naitwa SAMACHAU & SAMAMDOE....Timetokea huko kwetu BOSHAZI...lakini mnasalimiwa nandugu zangu wa KWETU TANGA, Pia ndugu zangu wa SIMO NA NJERO hawa wote ni wana Blog......lakini mimi ni mtaalamu wa vichekesho nauhakika walio nileta huku mjini watasuhuzika Roha zao au Mtima yenyu.....Hhahahahahahah!....
samachau & samamdoe
****
@ samachau...
Hata uwe msafi vipi
huwezi kusafisha bahari ikichafuka
ongeza yakoooo!!!!
Hahahahahaahahhahahahahahahaahaah
****
@ samamdoe...
Mume na mke Bar
Jamaa alikwenda Bar na mke wake wa ndoa,wakakaa kwenye viti, wakati
wanasubiri vinywaji akapita binti mmoja anayejiuza akamsogelea yule mke
wa jamaa akamnong'oneza " AKULIPE KABISA NI MGUMU KULIPA HUYOO!!......
Hahahahahahaahahahahhaahahhhahaha....umeipata hiyooooooo!
No comments:
Post a Comment