SIMO NA NJERO.........”ni ndugu wawili”.....WENYE
VITUKO
SIMU YA KUZIMU |
@...Mzee mmoja alifika kijijini akakuta mtandao
wa simu unapatikana vizuri tu. Akamwandikia mkewe sms.Bahati mbaya akaituma
kimakosa kwa mtu mwingine ambaye ni mwanamke mfiwa (mjane.) Alipopokea sms
asome mana watu walikuwa bado wanamtumia msg za kumfariji na msiba. Aliposoma
sms ile akazimia palepale.!
>mwanae kuona mama kaanguka akaisoma ile sms. Ilikuwa imeandikwa hivi,
>mwanae kuona mama kaanguka akaisoma ile sms. Ilikuwa imeandikwa hivi,
"MKE
WANGU MPENZI NAJUA UTASHANGAA KUONA SMS YANGU KWAKO.KUMBE HATA HUKU NAKO
MTANDAO UNAPATIKANA KAMA HUKO.NIMEFIKA SALAMA NA MATAYARISHO YA WEWE KUJA HUKU
YAMEKAMILIKA HIVYO JIANDAE HAITOFIKA WIKI IJAYO UTAKUWA UMESHANIFUATA
HUKU.MTOTO NAE CHALI. "
AHSANTENI….
No comments:
Post a Comment