Saturday, 22 June 2013

WAZO LA LEO!!!!!!

ULEVI NI NOMA



"MALANYINGI TILIKUWA TUKISIKIA WALEVI WAKIBADILISHIWA MAJINA WARA WAKITAMBULIKA KWA MAJINA YA WAPIGA MAJI, WAPIGA MTINDI, WAGONGA KINYWAJI, WANAUNANDA, WAGIDAJI, WATOSA KINYWAJI, NA KADHARIKA.....LAKINI PAMOJA NA YOTE MATOKEO YAKE HUWA NI MABAYA KWANI UTAINGIA KILABUNI AU KWENYE BAR NA HESHIMA ZAKO LAKINI UKITOKA HUWA UMEBADILIKA HUNA ADABU NA PENGINE USITOKE KABUSA HADI SIKU YA PILI ......NA HATA UKALOWEA HUKOHUKO HIVI HAKA KAJAMA KAJULIKANAKO KWA JINA POMBE KWNWWAZAZI KWELI MPAKA KAWATESE BINADAMU HIVI ..."PESA YAKWAKO AIBU NI KWAKO"!!!!!!!

No comments:

Post a Comment