Saturday, 22 June 2013

WAZO LA LEO

 
 
AIBU UKWENI..

>WASWAHILI KWA MBWEMBWE ETI OH!! USIKU MREFU SANA NDIO MAANA USIKU UNA MAMBO MENGI, NANI KAKUDANGANYA? UKITAKA KUJUA USIKU NI MFUPI SANA JIKOJOLEE UKWENI!.
 
TABU KWELIKWELI.....
 

No comments:

Post a Comment