Wazo la leo wakuu!!!
Hata
kama umezeeka kama hujaondoka kwa baba yako na mama yako wewe bado ni mtoto.
v Usione Ng'ombe anakunya huku anatembea, ANAJALI MUDA.
Mkaa hauuzi supermarket
v Usione Ng'ombe anakunya huku anatembea, ANAJALI MUDA.
Mkaa hauuzi supermarket
v Ukitaka
kujua umuhimu wa makalio,jaribu kukalia kichwa
Ukitaka kujua umuhimu wa C katika masomo pata D na ukitaka kujua umuhimu wa D pata F.
Ukitaka kujua umuhimu wa C katika masomo pata D na ukitaka kujua umuhimu wa D pata F.
Wazo la leo wakuu!!!
v
Hata uwe na mbio vipi huwezi kuuzidi upepo.
v Kopo la
chooni ni la chooni tu huwezi kuliweka kabatini hata likiwa jipya. Hata uwe na
huruma vipi, huwezi kumsaidia mkeo kubeba mimba.
Huna aibu kama makalio yanayotikisika hata mbele ya mkwe
Huna aibu kama makalio yanayotikisika hata mbele ya mkwe
v hahahahahaha
hiyo kali aiseee
Wazo la leo wakuu!!!
v teh teh
mie ntaomba
Uzee mwisho Chalinze, mjini kila mtu baby.
v Ata uwe
brother men vp bafuni utavua nguo
v Hata uwe
baunsa vipi kwa njaa lazima uwe mpole!
v fanya
uhuni wote ubraza men mpaka mwisho lakin huwez kuchomekea kizibao au kupga
kanzu mlegezo.!
Wazo la leo wakuu!!!
v
Et said mwema na ucku mwema ni ndugu
v Kuku hamu
mboga dagaa!
v Hata uwe
mwema kiasi gani huwezi kumpokea askari silaha
v kupenda
usipopendwa ni sawa na kusubiri boti uanja wa ndege
No comments:
Post a Comment