DR. NCHIMBI AFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA ASKARI POLISI NA UHAMIAJI
Waziri
wa mambo ya ndani ya nchi mh, Dr. Emmanuel Nchimbi akikaribishwa na
mkuu wa jeshi la polisi nchini katika viwanja vya gwaride katika chuo
cha polisi moshi (ccp) jana mkoani kilimanjaro alipokwenda kufunga
mafunzo ya awali ya askari polisi na uhamiaji. takribani askari polisi
elfu tatu na tisini na mbili walihitimu mafunzo, wakiwemo askari wa
uhamiaji 51
Waziri
wa mambo ya ndani ya nchi Mh, Dr. Emmanuel Nchimbi akikagua gwaride la
wahitimu wa mafunzo ya awali ya askari polisi wakati wa sherehe za
kufunga mafunzo hayo jana katika chuo cha polisi moshi (CCP). takribani
askari polisi elfu tatu na tisini na mbili walihitimu mafunzo, wakiwemo
askari wa uhamiaji hamsini na moja. picha na hassan mndeme-jeshi la
polisi.
Askari
polisi waliohitimu mafunzo, wakionyesha pikipiki inavyoweza kusaidia
katika kukabiliana na wahalifu kwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi mh,
dr. emmanuel nchimbi aliyekua mgeni rasmi katika sherehe za kufunga
mafunzo ya awali kwa askari polisi na uhamiaji jana mjini moshi.
takribani askari polisi elfu tatu na tisini na mbili walihitimu mafunzo,
wakiwemo askari wa uhamiaji hamsini na moja. picha na hassan
mndeme-jeshi la polisi.
Wasanii
wa kikundi cha ngoma cha chuo cha polisi Moshi wakitoa burudani jana
mjini moshi wakati wa sherehe za kufunga mafunzo ya awali kwa askari
polisi na uhamiaji. takribani askari polisi elfu tatu na tisini na mbili
walihitimu mafunzo, wakiwemo askari wa uhamiaji hamsini na moja. picha
na hassan mndeme-jeshi la polisi.
Wahitimu
wa mafunzo ya awali ya askari polisi wakifanya onyesho la kareti jana
mjini moshi wakati wa sherehe za kufunga mafunzo yaliyojumuisha askari
polisi na uhamiaji. takribani askari polisi elfu tatu na tisini na mbili
walihitimu mafunzo, wakiwemo askari wa uhamiaji hamsini na moja katika
chuo cha polisi moshi (ccp). Picha na Hassan Mndeme-jeshi la polisi
Waziri
wa mambo ya ndani ya nchi mh, Dr. Emmanuel Nchimbi akimzawadia kirungu
cha heshima mmoja kati ya wahitimu wa mafunzo ya awali ya askari polisi
aliyefanya vizuri zaidi. Dr, Nchimbi alikua mgeni rasmi wakati wa
kufunga mafunzo ya awali ya askari polisi na uhamiaji. takribani askari
polisi elfu tatu na tisini na mbili walihitimu mafunzo, wakiwemo askari
wa uhamiaji 51. picha na hassan mndeme-jeshi la polisi.
No comments:
Post a Comment