Huu msala ungeusovu vipi
 |
Cheka wewe |
Huu msala ungeusovu vipi
demu wako kaenda kukutambulisha kwao kufika getini unamkuta dada
ake ambae ni demu wako wa zaman kidogo unamuona kaka ake ulipgana nae
kwasabab alikufumania na demu wake ulipoangalia ndani ukamuona mama ake
ambae ni sugar mumy wako na ndo alokununulia gari unalotamba nalo kabla
hujajua la kufanya baba ake anatokea ndani unamkumbuka ni wakili alie
kutetea ktk kesi yako ya ubakaji
je ungefanyaje na demu unampenda kupita maelezo?
Chezea watu na kazi zao
CHEZEA WA2 NA KAZI ZAO...!
Mzungu kaunda NDEGE
Mchawi kaunda UNGO
Mzungu kaunda ATM
Mchawi katengeneza CHUMA ULETE
Mzungu kagundua ROBOTI ili imsaidie kazi
mchawi kagundua MSUKULE.
je, nan zaidi.?
No comments:
Post a Comment