![]() |
SIMO NA NJERO |
Kamanda shundi apokewa na maafisa IT Kagera baada ya kuwatembelea katika utendaji wao wa Kazi awapongeza na kudai yakuwa ucheshi wao na uchangamfu wao uwe chachu katika kazi zao....
Bloga wa wa Bugango Border aki vunjwa mbavu kwa vichekesho vya Bloga wa Simo na Njero..adai yakuwa atatembelea blog za Kwetu Tanga ,Boshazi, na hii ya Simo na njero...hahahahahahahah!!!!!
Akiwasomea wyaliyo jiri mkatika similizi za Blog ya simo na Njero...vicheko vimetawara katika chumba hicho cha IT....Kagera.
No comments:
Post a Comment