 Misemo ya bongo
 
   Misemo ya bongo
  
Kuna misemo ya bongo huwa naipenda sana, embu cheki huu“KULIKO KIOZE, HERI NIMPE JIRANI YANGU”. Hahahahaha
Embu na wewe tupia msemo wako unaokufurahisha sana....hahahahahaahha
KWAKWELI UPELE UKIMPATA MKUNAJI hadi ajitoe damu.....hahahahahaha.
No comments:
Post a Comment