KODI YA SIMCard
Kwa mujibu wa marekebisho ya mswada wa fedha wa mwaka 2013, Serikali imeanzisha tozo mpya ya TShs. 1,000/= kama kodi ya kila mwezi kwa kila laini ya simu za mkononi (SIMCard).
Kodi hii itakatwa kwa kila mtumiaji wa simu na inaanza rasmi tarehe 1 Julai 2013

.
No comments:
Post a Comment