Hivi Watanzania wanatesa au Wanateseka Africa Kusini???
Watanzania wanateseka na Dawa za
kulevya Afrika Kusini
- Baadhi wajihusisha na kazi za ujambazi wa kutumia silaha kwa lengo la kujipatia kipato
- Wengine wamekuwa wabakaji, ombaomba
- Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini akiri kuna tatizo kubwa
- Mzee Max Bushoke afichua chanzo cha Kifo cha msanii Albert Mangwea
Soma zaidi ==> http://bit.ly/14IuJ3x
No comments:
Post a Comment