JAMANIIIIIIII....LEO NANUNA HAHAHAHHAHAAAAA!
Nyamachoma ipo chini
|
Nyama chona |
Hii kweli imetokea, tulikuwa tupo kwenye daladala asubuhi kutokea
ubungo - posta abiria wote tumetulia kama kawa wengine wamekaa wengine
wamesimama sasa ghafla jamaa mmoja sharobaro amepiga pamba kali
michenicheni heheni sikio moja kiujumla alitokelezea si akaanza
kurudisha change(kutapika) duuuuuuu ilikuwa balaa akawa anatapiga ugali
na dagaaa afu inaonekana alikuwa ametoka kula mda ule ule jamaa kwa
kuondoa soo kila akitapika anapaza sauti haaaaaaaaa jamani nyama choma
zipo chini, akatapika tena haaaaaaaa msiogope jamani nyama choma zipo
chini,akatapika tena haaaaaaaaa hawa wadudu wageni humu tumboni thus why
wanatoka, Bhasiii abiria wotee kichekooooooooooo!!!!!
No comments:
Post a Comment