
Uzuiaji silaha Kali

UNAONEKANA
UMENUNA...HEBU PATA KIJIHABARI HICHI. JAMAA WAWILI WALIFIKA STESHEN,
WAKAKUTA TRENI NDIO KWANZA INAONDOKA WAKAANZA KUIKIMBIZA, MMOJA
AKAFANIKIWA KUPANDA AKAONDOKA.....YULE ALIYEBAKI AKAANZA KUCHEKA
SANAA.....MPAKA MACHOZI YAKAMTOKA WATU WAKAMUULIZA, UNACHEKA NINI WAKATI
UMEACHWA? AKAWAJIBU; "KINACHONICHEKESHA YULE ALIYEPANDA ALIKUWA
ANANISINDIKIZA TU STESHENI....
![]() |
Twaga wa Tanzania |
No comments:
Post a Comment